Ireland kutoa mimba ruksa.

In Kimataifa

Nchi ya Ireland ambayo ni ya misingi ya kidini hususani kwa dhehebu za Kikatoliki, suala la utoaji mimba kwa miaka mingi limekuwa haramu hata kama ni kwa kesi za kidaktari.

Kutokana na marufuku hiyo ya kisheria wanawake wamelazimika kwa kipindi chote kwenda kutibiwa nchi za nje endapo madaktari watasema inabidi watolewe mimba hizo kutokana na kuhatarisha maisha yao .

Hali hii imeanza kubadilika ambapo wanaharakati kwa miaka wameshinikiza kufutwa kwa sheria hii na kuhalaisha utoaji wa mimba kwa wanawake, na jana March 28, 2018 Waziri wa Afya nchini humo Simon Harris amezungumza.

Waziri huyo ameeleza kuwa May 25, 2018 itapigwa kura ambayo ndiyo itatoa hatima ya kuhalalishwa kwa sheria mpya ya utoaji wa mimba nchini humo baada ya miaka 35 au la.

Lowassa, Sumaye, Wafuasi wa CHADEMA walivyojitokeza nje ya Mahakama

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu