Mo Dewji asema kilichotokea ni bahati mbaya.

In Michezo

Baada ya muwekezaji wa Simba Mo Dewji kutoa kauli tata ambayo alitangaza kujiuzu kuwa mwenyekiti wa bodi ya klabu ya Simba baada ya matokeo ya Simba dhidi ya Mtibwa ambayo yalipelekea Simba kufungwa katika mchezo wa fainali kwa goli 1-0.

Ambapo ameandika kuwa  Kilichotokea kwenye ukurasa wangu jana ni bahati mbaya. Tuko pamoja, tunarejea kwa nguvu kwenye ligi, tunajipanga kwaajili ya ligi. Nawapongeza Mtibwa kwa kuchukuwa kombe. Mimi ni SIMBA damu damu. Nitabaki kuwa SIMBA.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu