RC Gambo kuanza msako wa mafuta ya kula na sukari.

In Kitaifa

Baada ya Waziri Mkuu kuagiza wafanyabiashara wa mafuta ya kula pamoja na sukari kutokuficha bidhaa hizo, Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema watafanya msako kubaini waliokiuka agizo hilo.

“Natumia fursa hii kuwakumbusha wafanyabiashara kuwa agizo la Waziri mkuu litaisha tarehe 12 mwezi wa tano, tutafanya msako kwenye maghala yote na kwenye maduka yote” -RC Gambo

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu