SAKATA LA ZITTO KABWE LAZIDI KUWA PANA

In Kitaifa

Moja kati ya Story ambayo bado inaendelea ku make headsline miyaani na kwenye vyombo vya habari
mblimbali bado ni kuhusiana na ishu ya Zitto Kabwe.

Utakumbuka juma lililopita bungeni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungno wa Tanzania Job Ndugai amesema,
kama Bunge la Marekani linamshughulikia Rais wa nchi hiyo, Donald Trump kwa vitendo vya kukosa uzalendo, kwa nini isiwe hivyo kwa Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe ambaye amefanya kitendo cha kuisaliti nchi Benki ya Dunia?


Spika Ndugai amesema hayo baada ya Mbunge wa Siha (CCM), Dkt. Godwin Mollel kuwasilisha hoja binafsi akiwashauri Wabunge wamuunge mkono kufikia uamuzi wa kumchukulia hatua Zitto kwa kitendo chake cha kuandika barua Benki ya Dunia (WB) akitaka Tanzania isipewe mkopo wa Dola milioni 500 kwa ajili ya Sekta ya
Elimu.

Spika Ndugai amewaambia Wabunge kuwa, Jimboni kwa Zitto kuna baadhi ya shule kuna wanafunzi hawana
madawati wanakalia vigoda vya miguu 3 na kuna Shule ya Sekondari ina vyoo viwili, kimoja kinatumiwa na
watoto wa kike na kingine kinatumiwa na wavulana

Spika Ndugai amesema, kitendo cha Zitto ni usaliti kwa kuwa fedha hizo zingesaidia kuondoa changamoto nyingi
kwenye Sekta ya Elimu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu