Video Lowassa:Mwezi huu uwe wakuchuma thawabu na sio dhambi.

In Kitaifa

Waziri Mkuu mstaafu na mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa Mhe.Edward Lowassa amewataka waislamu kuliombea Taifa na kuwaombea viongozi katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Mhe.Lowassa amewatakia mfungo mwema waislamu wote na amewaasa wafanya biashara huu wasiutumie mwezi huu kupata faida wautumie mwezi huu kuchuma thawabu na sio kuchuma dhambi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu