Benki ya Dunia yatoa mikopo ya kupambana na COVID-19

In Kimataifa

Benki ya Dunia imetangaza kuwa inatoa mara moja mikopo ya dola bilioni 12 kwa nchi zinazooendelea, kusaidia kupambana na virusi vya corona ambavyo vimesambaa kutoka China hadi nchi 80 duniani. Rais wa Benki ya Dunia David Malpass amesema lengo ni kutoa msaada wa haraka wa kukabiliana na athari za kiafya na kiuchumi zinazosababishwa na janga la COVID 19. Nchi maskini hazina vifaa vizuri vya kuzuia kusambaa kwa virusi vya ugonjwa huo. Fedha hizo huenda zikatumika katika utanuzi wa mifumo ya afya miongoni mwa mambo mengine. Benki ya Dunia siku za nyuma ilizindua mifuko ya msaada wakati wa majanga kama vile Ebola au Zika.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Dola Bilioni 3.14 kuimarisha sekta ya afya

Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu