Harrier yakutwa na Kilo 561 za Mirungi Mwanza.

In Kitaifa

Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limekamata gari aina ya Toyota
Harrier ikiwa imebeba bunda elfu 1 na 50 za mirungi sawa na
kKilogramu 561.


Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Ramadhani Ng’anzi
amesema kuwa,gari hiyo mali ya Malema Maswi yenye namba
za usajili T161 DGP ilikamatwa Juni 8, 2022 Saa 5: 20 usiku
katika maeneo ya Itumbili wilayani Magu mkoani Mwanza.


Ameeleza kuwa ilikamtwa baada ya kutelekezwa na dereva
ambaye jina lake halijatambulika.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu