Katibu wa Kanda ya Kaskazini Ajiuzulu na Kujivua Uanachama Chadema

In Kitaifa

Katibu wa Kanda ya Kaskazini ametangaza rasmi kujiuzulu nafasi yake pamoja na kujivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kuanzia leo tarehe 01 Aprili 2026.

Katika taarifa yake, kiongozi huyo ameeleza kuwa uamuzi huo umetokana na majukumu mapya aliyoyapata, ambayo yanamlazimu kujiondoa katika nafasi ya uongozi na uanachama wa chama hicho.

Aidha, ametoa shukrani za dhati kwa Kamati Kuu ya chama kwa imani kubwa waliomuonyesha katika kipindi chote cha utumishi wake. Pia amemshukuru kiongozi aliyekuwa akifanya naye kazi kwa ushirikiano mzuri, pamoja na viongozi na wanachama wote wa Chadema Kanda ya Kaskazini kwa msaada na ushirikiano waliompatia.

Akihitimisha, amewatakia viongozi na wanachama wote wa chama hicho mafanikio mema katika harakati za kuendeleza demokrasia nchini.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Dola Bilioni 3.14 kuimarisha sekta ya afya

Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu