Katoliki hatujazuia kufunga ndoa.

In Kitaifa


Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaitwa
Padri Dr. Charles Kitima amefafanua tamko la Kanisa Katoliki
kuzuia watu kufunga ndoa nakusema hawajazuia sakramenti
hiyo ila wamezuia wale wanaotaka kufanya sherehe.


Dr. Charles amesema Ibada ya kupokea Sakrament ya ndoa na
kipaimara hizi shughuli zisiandamane na shamrashamra,
ukishafunga ndoa kusiwepo sherehe, kinachofanyika ni
mkusanyiko wa Ibada, kama unataka na sherehe subirisha.
Pia amesema Ndoa zinaendelea kufungwa, mtu amekaribia kufa
huwezi mnyima Ubatizo, nyie Wachumba mmepanga kufunga
ndoa April njooni Kanisani mtafunga mko wawili na
wasimamizi wanne, distance mita moja moja lakini hamna
sherehe.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Tanzania, Marekani zasaini makubaliano ya Dola Bilioni 3.14 kuimarisha sekta ya afya

Serikali za Tanzania na Serikali ya Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) ya ushirikiano katika sekta ya afya ya

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu