Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, leo Agosti 20, anatangaza majina ya wagombea ubunge wa CCM waliopitishwa na Kamati ya Halmashauri kuu ya Taifa ya chama hicho.
1 ARUSHA
mijini- Mrisho Mashaka Gambo
Arumeru Magharibi- Noah LebrusMolel
Arumeru Mashariki- John Palangyo
Karatu- Daniel Tlemai
Longido- Stephen Kirusya
Monduli- Fred Lowassa
Ngorongoro- Ole Nasha
2.DAR
Ubungo- Prof KitilaKitila
Kibamba- Issa Jumanne Mtemvu
Kinondoni- Abass Tarimba
Kawe- Askofu Josephat Gwajima
Kigamboni- Dr.Faustine Ndugulile
Ilala- Mussa Zungu
Segerea- Bonna Kamoli
Ukonga- Jerry Slaa
Temeke- Doroth Kilave
Mbagala- Abdallah Chaurembo
3.DODOMA
Bahi- Keneth Nolo
Chamwino- Deo Dejembi
Mvumi- Livingstone Lusinde
Chemba- Mohammed Moni
Dodoma Mjini- Anthony Mavunde
Kongwa- Job Ndugai
Kondoamji- Ally Juma Makoa
KondoaVijijini- Dr.Ashatu Kijaji
Kibakwe- George Simbachawen
Mpwapwa- George Nataly Malima
4.GEITA
Busanda- Tumaini Magesa
Geita Mjini- Consatantine Kanyasu
Geita vijijini- Joseph Kasheku(Musukuma)
Bukombe- Dotto Bisheko
Chato- Medard Kalemani
Mbogwe- Nicodemas Maganga
Nyang’alwe- Hussein Amar
5.IRINGA
Iringa Mjini- Jesca Msavatambangu
Kalenga- Jackson Kiswaga
Isimani- William Lukuvi
Kilolo- Lazaro Nyamoga
Mafingamji- Cosato Chumi
Mufindi Kaskazini- Exaud Kigahe
Mufindi Kusini- David Kihenzile
6.KAGERA
Bukoba mjini- Stephen Byabato
Bukoba vijijini- Jackson Rweikiza
Nkenge- Frolent Kyombo
Karagwe- Innocent Bashungwa
Kyerwa- Innocent Bilakwate
Ngara- Ndaisaba Luhoro
Bihalamuro- Ezra Chiwelesa
Muleba Kaskazini- Charls Mwijage
Muleba Kusini- Oscar Kikoyo
7.KATAVI
Mlele- Isack Kamwele
Kavuu- Geophrei Mizengo Pinda
MpandaMjini- Sebastian Kapufi
Nsimbo- Anna Lupembe
MpandaVijijini- Moshi Kakoso
8.KIGOMA
Kasuli Mjini- Prof Joyce Ndalichako
Manyovu- Dr. Philip Mpango
Buyungu- Aloyce Kamamba
Muhambwe- Atashasta Nditiye
KigomaMjini- Kirumbe Shabani Ng’enda
KigomaKaskazini- Asa Nelson Makanika
KigomaKusini- Nashon William
Kasuluvijijini- Augustine Hole
9.KILIMANJARO
Vunjo- Charls Kimei
Siha- Dr. Godwin Mollel
Moshi Vijijini- Prof. Patrick Ndakidemi
Hai- Salasisha Mafue
Same Mashariki- Anne KilangoMalecela
Same Magharibi- Dr.Mathayo David Mathayo
Rombo- Prof. Adolf Mkenda
Moshi Mjini- PriscusTarimo
Mwanga- AnaniaTadayo
10.LINDI
Kilwa Kaskazini- Ndulane Franscis
Kilwa Kusini- Kasinge Mohammed Ally
Liwale- Zuberi Kuchauka
LindiMjini- Hamida Mohammed Abdallah
Mchinga- Salma Kikwete
Mtama- Nape Nnauye
Nachingwea- Amandus Julius Chinguiye
Ruangwa- Kassim Majaliwa
11.MANYARA
Babati Mijini- Paulina Gekul
Babati vijijini- Daniel Silo
Hanang- Samwel Kadai
Mbulumji- Isai Paulo
Mbulu vijijini- Flatei Gregory
Kiteto- Edward Kisau
Simanjiro- Christpher Ole Sendeka
12.MARA
Musoma Mjini- Vedastus Manyinyi
Musoma Vijijini- Prof.Sospeter Muhongo
Bunda Mjini- Robert Chach aMaboto
Bunda Vijijini- Boniface Getere
Mwibara- Charls Kajege
Butiama- Jumanne Sagini
Rorya- Jaffary Wambura Chege
TarimeMjini- Mwita Michael Kembaki
TarimeVijijini- Mwita Waitara
Serengeti- Dr.Jeresabi Mkimi
13.MBEYA
Busekelo- Atupele Mwakibete
Kyela- Ally Jumbe
Lupa- Masache Kasaka
Mbalali- Franscis Mtega
Mbeya Mjini- Dk. Tulia Akson
Mbeya Vijijini- Oran Njeza
Rungwe- Anthony Mwantona
14.MOROGORO
Mlimba- Godwin Kunambi
Kilombero- Abubakar Asenga
Morogoro mjini- AbdulAziz Abood
Gairo- Ahmed Shabiby
Malinyi- Antipas Mgungusi
Morogoro Kusini- Innocent Kalogeres
Morogoro Mashariki- Hamis Shaaban Taletale
Mvomero- Jonas Vanzilad
Mikumi- Deniss Lazaro Londo
Kilosa- Prof.Palamaganda Kabudi
Ulanga- Salim Hasham
15.MTWARA
Mtwara Mjini- Mtenga Hassan Selemani
Mtwara Vijijini- Hawa Ghasia
Nanyamba- Abdallah Chikota
Tandahimba- Katani Katani
Newala mjini- George Mkuchika
Newala Vijijini- Maimuna Mtanda
Masasi- Geofrey Mwambe
Lulindi- Issa Mchungahela
Ndanda- Cecil David Mwambe
Nanyumbu- Yahaya Ali Mhata
16.MWANZA
Ukerewe- Joseph Mkundi
Ilemela- Dkt. Angelina Mabula
Sengerema- Tabasamu Hamis Mwagao
Buchosa- Erick Shigongo James
Nyamagana- Stanslaus Mabula
Misungwi- Alexander Mnyeti
Sumve- Kasalali Emmanuel Mageni
Kwimba- Shanif Mansour
Magu- Bonaventura Kiswag
17. Mkoa wa Njombe
LUPEMBE – Edwin Enos
NJOMBE MJINI -Deodatus Mwanyika
MAKAMBAKO – Deo Sanga
MAKETE – Festo Richard
WANGING’OMBE – Dkt Festo John
LUDEWA – Kamonga Joseph
18.Mkoa wa Tabora
IGUNGA – George Ngassa
MANONGA – Seif Gulamali
TABORA KASKAZINI – Almasi Maige
IGALULA – Daud Protas
TABORA MJINI – Emmanuel Mwakasaka
NZEGA MJINI – Hussein Bashe
NZEGA VIJIJINI – Hamiss Kigwangalla
BUKENE – Jumanne Zedi
KALIUA – Aloyce Kwezi
ULYANKURU – Rehema Migira
URAMBO – Margaret Sitta
SIKONGE – Joseph Kakunda
19. Mkoa wa Shinyanga
SHINYANGA MJINI – Patrobas Katambi
SOLWA – Ahmed Ally
KAHAMA MJI – Jumanne Kishimba
USHETU – Elias Kwandikwa
MSALALA – Iddi Kassim
KISHAPU – Boniface Nyangindu
20.Mkoa wa Simiyu
BARIADI – Andrea Kundo
BUSEGA – Simon Songe
ITIRIMA – Njalu Silanga
MASWA MAGHARIBI – Mashimba Ndaki
MASWA MASHARIKI – Nyongo Stanslaus
KISESA – Luhaga Mpina
MEATU – Leah Komanya
21.Mkoa wa Singida
SINGIDA MASHARIKI – Miraji Mtaturu
SINGIDA MAGHARIBI – Elibariki Kingu
MANYONI MASHARIKI – Dkt Steven Chaya
MANYONI MAGHARIBI- Yahaya Omary
IRAMBA MASHARIKI – Francis Mtinga
IRAMBA MAGHARIBI – Mwigulu Nchemba
SINGIDA MJINI – Mussa Sima
SINGIDA KASKAZINI – Ramadhani Ihondo
22.Mkoa wa Songwe
ILEJE – Eng Godfrey Msongwe
MBOZI – George Mwenisongole
VWAWA – Japhet Hasunga
TUNDUMA – David Silinde
MOMBA – Kondesta Michael
SONGWE – Philipo Mlugo
23.Mkoa wa Tanga
BUMBULI – January Makamba
MUHEZA – Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
TANGA MJINI – Ummy Mwalimu
KOROGWE MJINI – James Kimeya
KOROGWE VIJIJINI – Paul Mzava
PANGANI – Jumaa Aweso
LUSHOTO – Shabaan Shekilindi
HANDENI MJINI – Reuben Kwagira
HANDENI VIJIJINI – John Saru
KILINDI – Mohamed Kigua
MLALO – Rashid Shangazi
MKINGA – Dastan Kitandula
24.Mkoa wa Rukwa
NKASI KUSINI – Vincent Mbogo
SUMBAWANGA MJINI – Aeshi Hilary
KWELA – Deus Clement
NKASI KASKAZINI – Ally Kessy
KALAMBO- Josephat Kandege
NEWALA VIJIJINI – Maimuna Mtanda
MASASI – Geofrey Mwambe
LULINDI – Issah Mchungahela
25.Pwani
Bagamoyo – Muharami Mukenge
Chalinze – Ridhiwani Kikwete
Kibiti – Twaha – Twaha Ally Mpembenue
Kibaha Mjini – Sylvester Koka
Kisarawe – Selemani Jaffo
Mkuranga – Hamisi Ulega
Mafia – Omary Kipanga
rufiji – Mohammeh Mchengelwqa
Kibaha Vijijini – Michale Constantine Mwakamo
