Makamu wa 1 wa Rais Zanzibar atimiza Mwaka 1 Madarakani.

In Kitaifa

Leo Machi 02 Makamu wa Rais wa kwanza wa serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Othman Masoud Othman ametimiza
mwaka mmoja tangu aingie madarakani.


Katika siku hii amefanyika Mazungumzo na wanahabari na
kuelezea baadhi ya mambo yaliyofanyika katika kipindi cha

mwaka mmoja alio madarakani nay ale wanayotarajia
kuyafanyia kazi.

Mbali ya hayo aliyoyazungumza pia alitoa nafasi ya kuulizwa
maswali ambapo moja ya swali aliliouliza ni juu ya kama kuna
haja ya katiba ya Zanziabra kufanyiwa marekebisho ili makamu
wa kwanza wa rais awe na mamlaka zaidi ya iliyo hivi sasa,na
katoa majibu ya swali hilo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu