Mapya yaibuka kesi ya Mbowe jaji ajitoa.

In Kitaifa

Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Divisheni ya Makosa ya
Rushwa na Uhujumu ikifahamika kama Mahakama ya Mafisadi
Elinaza Luvanda, amejitoa kusikiliza kesi ya Mwenyekiti wa
CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake.


Jaji Luvanda amejitoa baada ya Freeman Mbowe kusimama
mahakamani hapo na kusema kuwa, hana imani na jaji huyo na
kumtaka ajitoe kusikiliza kesi hiyo ili kulinda heshima yake
heshima ya mahakama.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu