Mganga mkuu Dar atoa taarifa ya Chanjo ya Uviko19.

In Afya, Kitaifa

Mganga mkuu wa jiji la Dar es salaam Dkt Rashidi Mfaume
ametoa taarifa ya mwenendo wa utoaji wa chanjo ya Uviko19
katika jiji hilo akieleza kuwa,kitakwimu bado wapo chini na
hamasa inahitaji ili kufikia lengo.
Dkt Rashidi Mfaume ameeleza hayo katika kikao kilichohusisha
wadau wa Afya katika jiji la Dar es salaam kilicholenga kupeana

taarifa mbali mbali zikiwemo za namna ya kukabiliana na wimbi
la nne la Uviko 19.


Katika maelezo yake Dkt Mfaume ameelezea kupokelewa kwa
Dozi nyingine za chanjo za Johnson &Johnson,hivyo kuwataka
wananchi waliokuwa wakiulizia chanjo hiyo kufika katika vituo
vya Afya maeneo mbali mbali kupatiwa huduma hiyo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu