NACTIVET YASIMAMISHA MAFUNZO CHUO CHA MBEYA TRAINING..DC MALISA AAGIZA KUFANYIWA UHAKIKI VYUO VYOTE WILAYA YA MBEYA

In Kitaifa

Wazazi Wanafunzi na wahitimu wa chuo cha Mbeya training wameiomba serikali iwasaidie kurudishiwa stahiki zao mara baada ya kubainika kozi waliyokuwa wanasoma chuoni hapo haitambuliki na Balaza la taifa la elimu ya ufundi NACTIVET.

Ombi hilo wamelitoa mbele ya Mkuu wa wilaya ya Mbeya Mh.Beno Malisa na Meneja wa kanda ya Nactivet Joha Fugutilo mara baada ya kuagiza chuo hicho kusimamisha mafunzo kutokana na kukiuka masharti ya uendeshaji huku Mh. Malisa akiagiza Nactivet kufanya uhakiki wa vyuo vilivyopo Wilayani Mbeya.

Katibu mtendaji wa Nactivet Tanzania kupitia kwa Meneja wa kanda ya nyanda za juu kusini Joha Fugutilo mbali na kuagiza chuo hicho kusimamisha utoaji wa mafunzo lakini pia amesema mmiliki asipotoa maelezo ndani ya siku saba chuo hilo kitafutiwa usajili wake

Kwa Upande wa wanafunzi wamedai wameiomba Serikali kusaidia kupata Suluhu ya jambo hilo kutokana na wengi wao kupoteza muda Wakiwa chuoni hapo na hasara Iliyojitokeza.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

ZOEZI LA UOKOAJI HANANG, MAWAZIRI WAFIKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent

Read More...

RC MBEYA AFANYA UZINDUZI ZOEZI LA UGAWAJI VITAMBULISHO VYA (NIDA)

Mkuu wa mkoa wa mbeya Mhe. Comrede Juma Zuberi Homera amefanya uzinduzi wa wa zoezi la ugawaji wa vitambulisho

Read More...

Serikali yataja mkakati wa kuongeza wabunge wanawake.

Serikali imesema itapeleka bungeni marekebisho ya Sheria yaVyama vya Siasa, ili kuvilazimisha kuwa na sera itakayowekamwongozo wa kujumuisha wanawake

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu