Inasemekana kuwa mwanamuziki nyota wa #hiphop Duniani #nickiminaj amefanya upasuaji kubadilisha muonekano wake katika sura na hata mwili mzima.
Hii ni kutokana na picha zake za wakati huu kuonekana tofauti na vile mashabiki zake walivyomzoea.
Bado Nick mwenyewe ajazungumzia taarifa hizi Lakini Je? Waonaje Ni Kweli Muonekano Wake Umebadilika?



