Rais Samia Ashiriki Kuaga Mwili wa Dkt.Ndugulile.

In Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia
Suluhu Hassan,leo ameshiriki Kuaga Mwili wa Aliyekua
Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la
Afya Duniani WHO Ukanda wa Afrika Mhe Dkt Faustine
Ndugulile leo Tarehe 02 Disemba 2024 katika Viwanja vya
Karimjee.

Kwa upande wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe Dkt Samia Suluhu Hassana,akizungumza katika zoezi hilo
ametoa pole kwa familia kwa niaba ya serikali ya Tanzania na
kumwelezea Dkt Faustin Ndugulile kama kiongozi shupavu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu