Serikali yachukua hatua kuwalinda watoto dhidi ya ukatili.

In Afya, Kitaifa

Waziri wa Afya,maendeleao ya jamiii,jinsia,wazee na watoto
Dkt Doroth Gwajima amesema serikali imechukua hatua kadhaa
katika kuhakikisha kuwa watoto wanalindwa dhidi ya vitendo
vya kikatili.

Dkt Doroth ameeleza hayo alipokuwa akijibu swali la mbunge
wa Mchinga Salma Kikwete aliyeataka kujua ni hatua gani
zinzochukuliwa na serikali katika kuwalinda watoto dhidi ya
vitendo hivyo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu