Serikali yasisitiza kufanya kazi na wadau wa Afya.

In Afya, Kitaifa

Leo December 3,2021 Waziri wa Afya hapa nchini Dkt,Doroth
Gawajima amekutana na wanahabari pamoja na wadau katika

idara ya afya na kusema serikali iko tayari kufanya kazi na
wadau wa afya katika kuondoa changamoto zilizopo za afya.
Hayo yamebainishwa mchana wa leo jiini Dar Es Salaa lakini
pia Dokta Doroth Gwajima hakuacha kuligusia suala la UVIKO-
19.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu