Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA, imewataka Walipakodi
wote waliosajaliwa katika VAT,kuhakikisha kwamba wanafanya
matumizi ya Mfumo Mpya wa Uwasilishaji Ritani za Kodi kwa
njia ya Kielektroniki yaani e-VAT.
Wito huo umetolewa na Ndugu Richarld Kayombo Mkurugenzi
wa Huduma na Elimu kwa mlipa kodi.
