YE ARUDI STUDIO

In Burudani, Kimataifa

Mwishoni mwa mwezi agost album ya DONDA iliachiwa ikiwa na wakali mbali mbali lakini Kanye west tayari anapanga kuachia mwendelezo wa DONDA katika mahojiano na complex steven victor anasema kwamba YE amerudi studio kufanya kazi ya DONDA.

Steven Victor Ambaye ni CEO katika G.O.O.D. Music na Makamu wa Raiswa A&R katika Universal Music Group amefichua kuwa Kanye ameanza kazi ya kutengeneza albamu mpya. “Ye ameanza kufanyia kazi kitu chake kipya cha DONDA 2”, aliwambia mtandao wa complex.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu