Jay-z aimwagia pesa familia ya Nipsey Hussle.

In Burudani, Kimataifa

Rapper Jay-z amefungua mfuko wa zaidi Tsh. Billioni 30 kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa NipseyHussle mfuko ambao utasimamiwa na Mke wa Rapper huyo Lauren ambaye aliuliwa siku ya jumapili kwa kushambuliwa kwa risasi

Rapper Jay-Z  anapewa heshima ya juu na sio kwa muziki wake tu bali kwa moyo wa kuwasaidia rappers wengine wanapohitaji msaada, amewahi kumsaidia Meek Mill, 21 Savage na hata Lil Wayne.

Nipsey Hussle alikuwa amelamba shavu la usimamizi chini Label ya Jay-Z, Roc Nation.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Miss Tanzania Mikononi mwa Waziri Mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka mshindi wa shindano la urembo Tanzania (Miss Tanzania) kwa mwaka 2019 Sylivia Bebwa, kuhakikisha

Read More...

Magufuli ampandisha cheo Brigedia Jenerali Charles Mbuge.

Rais Magufuli amemteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT. Mbuge anachukua nafasi Meja Jenerali Martin Busungu ambaye

Read More...

SOKA LA KIMATAIFA NA FUNUNU ZAKE.

Juventus imekataa kumuuza winga Douglas Costa 28 licha ya Man United kuwa na hamu ya kumsajili baada ya mkufunzi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu