Inaonekana Rapper Kanye West anatakakumaliza beef yake ya muda mrefu na Drake.
Sikuya Jumatatu, J. Prince alishiriki video kwenye mtandao wake wa kijamii ambapo Kanye alisoma ujumbe kutoka kwenye simu yake, akimwomba Drake kuja kutumbuiza naye huko LA
Kwenye video hiyo, ‘Yea nasoma ujumbe kutoka kwenye simu yake ambapo anamwomba Drizzy kuungana kwa pamoja ili kumsaidia Larry Hoover. Utani mwingi ulikuwepo kwenye mitandao yakijamii kuhusu Kanye kuwa katika hali ya “mateka”.
“Ninamwomba Drake mnamoDesemba 7 ajiungenamikwenyejukwaakamamgenirasmiilikushirikialbamumbilikubwahuko Los Angeles lengokuulikiwanikumsaidia Larry Hoover,” Ye alisema.
Larry hoover ni kiongozi wa genge la Amerika, mwanzilishi wa genge la Gangster Disciples la Chicago. Hoover anatumikia kifungo katika gereza la ADX Florence huko Florence, Colorado. Alihukumiwa miaka150-200 kwa mauajiya 1973 namwaka 1997, baadayauchunguziwamiaka 17.



