Kuna taarifa kwamba Kocha Antonio Conte yuko mbioni kukamata mkataba mpya wa klabu yake ya Chelsea.

Kwa mujibu wa Express. ni kwamba Tayari Antonio ameshafanya mazungumzo na kukubaliana na mmiliki wa timu hiyo Roman Abramovich
Muitaliano huyo ambaye amebakiwa na miaka miwili katika mkataba wake wa sasa, lakini bosi wake anataka kumpa mkataba mwingine baada ya kuanza vema kampeni katika soka la Uingereza.
