Bailando yamuingizia Enrique Iglesias Trillion 18 za Kitanzania

In Burudani

Hakika ukishakuwa Msanii mkubwa wa Kimataifa wewe ni Tajiri asiyemithilika.

Kama ilivyo kawaida, Mtandao wa YouTube wenyewe tu huwa unampa mwenye account Dollar 3000 kwa kila Views Million 1 kwenye YouTube Channel ya Muhusika.

Sasa kwanini nasema ukishakuwa Msanii Mkubwa umeula, Mwanamuziki  Enrique Iglesias, anasherehekea Wimbo wake wa Bailando aliowashirikisha Descemer Bueno na Gente De Zona kufikisha Watazamaji (Views) zaidi ya bilioni 2 kwenye mtandao huo wa Youtube tangu umewekwa 11 Apr 2014.

Enrique Iglesias

August 2015, ilipata views zake za kwanza bilioni moja na kuwa wimbo wa kwanza wenye lugha ya Spanish kufikia Watazamaji hao.

Enrique Iglesias amesherehekea kwa kuwashukuru Mashabiki wake kwa Kuandika kwenye nstagram, “Thank you to all my fans! I love you guys!”

Hii Inatupa Picha ya Haraka haraka kwamba kwakuwa Views Million 1 anapewa Dollar 3000, Basi Enrique ameingiza Kiasi cha Dollar Million 6 ambazo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillion 18 (18,000,000,000)

UNAWEZA KUITAZAMA VIDEO HIYO HAPA CHINI

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu