COMMON KUANZISHA RECORDING STUDIO NDANI YA GEREZA

In Burudani, Kimataifa

Common ni mmoja kati ya marapa wazuri wa Hip Hop
kwenye game, na linapokuja suala la maswala kama mfumo wa
gereza na jinsi inavyoathiri maisha ya wamarekani weusi, rapa
huyo wa Chicago sio mtu wa kukaa kimya na kutazama mambo
yanavyotokea.


Jumanne (Oktoba 5), CBS Chicago iliripoti kuwa Common
alifungua studio ya kurekodi inayofanya kazi kikamilifu ndani ya
Kituo cha Marekebisho ya tabia cha Stateville huko Cresthill.
Mwanasheria Ari Williams mwanzoni alikuja na wazo la kuwapa
wafungwa wa Stateville fursa ya kutumia ubunifu wakati wa
kutumikia vifungo vyao.


Common alisema “wafungwa wanastahili kupata vitu bora
maishani kwa hivyo ndiyo sababu napigania jiji langu,” Common
alisema. “Na ndio sababu moyo wangu uko na Chicago kila
wakati.”

Common alisema katika interview. “Sababu ya kusema kwaajili
ya watu wengi ambao wamefungwa kwa sababu nimekuwa
nikienda kwenye magereza hayo na kukutana nao. Na sasa
naweza kusema kwa mtazamo mwingine kabisa, lakini ni
upendo. Sijali ikiwa haujafika bado kwenye mitaa na kujionea…
hivyo chimba kwa kina kidogo. Ni hayo tu.”

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu