Grace ameoa Wanaume watatu na kuwapa nyumba

In Mahusiano

Mwanamke mmoja nchini Uganda anayefahamika kwa jina la Ann Grace
Aguti, amewachukiza Wazazi, Viongozi wa Dini na Jamii yake baada ya kuwaoa
wanaume watatu na kumpa kila mmoja wao nyumba moja kati ya saba anazomiliki, kwa
sasa ana mimba na bado hajamtaja muhusika wa mimba hiyo.
“Baba mimi ni Mtu mzima ambaye nina maisha yangu ni haki yangu kuwa na
Wanaume watatu ambao wote wanaelewana bila ugomvi, ni nani kati yenu nyie

Viongozi wa Dini na hata wewe Baba atanifanya kuwa Mke, kama mtalazimisha
kuwafukuza Wanaume wangu watatu niliowaoa”-Ann baada ya Baba kutishia
kuwafukuza Wanaume wake.

Natamani kuwa na Mume atakayenihudumia kama Mke, ina raha yake ila
sijabatika, Mume wangu wa kwanza niliyezaa nae Watoto watatu alikuwa Marioo
nikamuacha kisa alizidisha wivu, nimewaoa hawa Wanaume watatu, nawalisha
nimewapa kila mmoja nyumba, ila bado natafuta Dume atakayeweza
kunigharamia anaweza hata kuwa Mume wa nne ”-Ann Grace

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

NIFFER NA CHAVALA WAACHIWA HURU NA MAHAKAMA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imewaachia huru leo mchana vijana Jennifer Jovin (26), maarufu kama

Read More...

Trump kukutana na viongozi wa Rwanda na DR Kongo Alhamisi

Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na viongozi wa Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo siku ya Alhamisi

Read More...

SERIKALI YAAGIZWA KUFUTWA KWA LESENI 73.

Serikali kupitia Wizara ya Madini imeielekeza Tume ya Madini kufuta jumla ya leseni 73ambazo maeneo yake hayajaendelezwa. Hayo yameelezwa leo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu