JAMBO HILI NI MUHIMU KWA WANA NDOA

In Mahusiano

Kama penzi ni kujitoa sadaka “sacrificing” basi wote mnapaswa  mjitoe sadaka
kikamilifu. Kama penzi ni kuwa tayari kumfia mwenzako basi wote muwe tayari
kuyatoa maisha yenu kwa ajili ya mwingine.
Kama penzi ni kuhudumiana basi muwe tayari kuhudumiana. Sio mmoja anajitesa
kila siku kwa ajili ya mwingine ambaye hata haoni maana ya mwenzake kuteseka.
Ni muhimu kwa namna moja ama nyingine kuhakikisha kila mmoja wenu anajitoa
kikamailfu kwa mwenzake. Iwe ni kazi au malezi asiwepo  mtu yeyote mwenye
kumuchia majukumu mtu mwingine, kwa kisingizio mwenzangu atafanya. Ni
muhimu kila mmoja wenu aelewe vyema kwamba majumu yote ni ya kwenu kwa
pamoja.
Nyumba ambayo itajijengea misingi mizuri ya kushirikiana kwa pamoja ni kwamba
mahusiano hayo yatakuwa ni mazuri daima na yenye kudumu milele. Usisahau,
mapenzi yenye machungu na machozi mfululizo yana sumu na madhara makubwa
kuliko kuwa SINGLE. Choose life. Choose happiness {Furaha}. Hivyo ni wajibu wenu
kuanzia sasa kuishi maisha ambayo yatawasaidia sana kwa namna moja ama
nyingine kufika mbali kwa kuhakikisha mnafanikiwa katika mambo myafanyayo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu