Wakati Jay-Z na Kanye West walipozindua albamu yao ya kitambo ya Watch the Throne mwaka 2011, walipata mapato ambayo yanaonekana kuwa ya kawaida. Jay-Z aliingiza dola milioni 37, akiongoza orodha ya Forbes ya “Hip-Hop Cash Kings”, huku Kanye akiingiza $16 milioni.
Jay-Z anatajwa kuongezeka kwa pato lake ni kutokana na kuuza hisa zake za TIDAL kwa kampuni ya Square Inc. Nafasi ya pili inashikiliwa na rappa Kanye West ambaye inatajwa pato lake kubwa limeongezeka kupitia biashara zake za bidhaa za Yeezy.
Kumekuwa na
maingizo mapya huku Doja Cat akiwa mwanamke pekee aliyemo katika orodha hiyo ya
wanamuziki 10 wa Hip hop walioingiza fedha nyingi, akiwa katika nafasi ya 10.
orodha
kamili.
1. JAY-Z –
$470 million
2. Kanye
West – $250 million
3. Diddy –
$75 million
4. Drake –
$50 million
5. Wiz
Khalifa – $45 million
6. Travis
Scott – $38 million
7. DJ
Khaled – $35 million
8. Eminem –
$28 million
9. J. Cole
– $27 million
10. Birdman
– $25 million
10. Doja
Cat – $25 million
10. Tech
N9ne – $25 million
