JPM awapongeza Joe Biden na Kamala Harris

In Kitaifa

Rais wa Tanzania John Magufuli amempongeza Rais mteule Joe Biden na aliyekuwa mgombea mwenza Kamala Harris kwa ushindi walioupata katika uchaguzi mkuu wa Marekani.

Katika Ukurasa wake wa Twitter Rais Magufuli amesema anawahakikishia wawili hao kuwa Tanzania itaendelea kutunza uhusiano uliopo kati ya nchi hizo mbili.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

TEMBO WAUA TENA KIGONIGONI

Aliyekuwa mwananchi wa Kijiji cha Kigonigoni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Yonael Kaindu Maarufu kama Mzembi, ameshambuliwa na Kuuawa na

Read More...

Waziri wa zamani wa Msumbiji ahukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya ufisadi.

Msumbiji Alhamisi imemuhukumu waziri wa zamani kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya ufisadi, ikiwa ni hukumu kali

Read More...

YANGA yasaini Mkataba mpya wa Udhamini na Sportpesa

KLABU ya Yanga SC, imesaini mkataba mpya wa Udhamini Mkuu na Kampuni ya kubashiri ya Sportpesa Tanzania, wenye thamani

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu