Lipo Tatizo la ugonjwa wa shinikizo la macho nchini.

In Afya, Kitaifa

Tanzania imeungana na mataifa mengine katika maadhimisho ya wiki ya ugonjwa wa shinikizo la macho duniani huku takwimu zikionesha asilimia 90 ya watu wenye ugonjwa huo nchini hawajagundulika.

Maadhimisho hayo yaliyofanyika katika hospitali ya Benjamini Mkapa jijini Dodoma yakiwa yamebaba kauli mbiu ya dunia niangavu tunza uoni wako ambapo, mganga mkuu wa serikali Dk Aifelo Sichalwe, ametoa tamko la serikali kwa niaba ya waziri wa afya na kueleza ukubwa wa ugonjwa huo nchini.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Maagizo ya wizara kuhusu mfuko wa maendeleo ya kilimo.

Naibu Waziri Wa Kilimo Anthony Mavunde, amesema serikaliimeanza kutekeleza uanzishwaji wa mfuko wa maendeleo yakilimo utakaosaidia kukabiliana na changamoto

Read More...

TANZIA: WAZIRI MSTAAFU WA KILIMO AFARIKI DUNIA

Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini na Waziri wa Kilimo na Mifugo Mhe. Herman Kirigini Amefariki Dunia. Akithibitisha

Read More...

Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Professor Makame Mbarawaameliomba Bunge kumuidhinishia kiasi cha Sh Trilioni 3.6ikiwa ni makadirio ya mapato

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu