Uchaguzi wa Kenya 2022.

In Kimataifa, Siasa

Naibu wa rais nchini Kenya amesema kwamba Wakenya watajiamulia kuhusu mgogoro wa kisiasa kati yake na rais Uhuru Kenyatta.

Kwa takriban miaka minne sasa, uhusiano kati ya naibu huyo William Ruto na rais Uhuru Kenyatta umekuwa mbaya.

Bwana Ruto anamtuhumu rais Kenyatta kwa kubadilisha ajenda ya serikali baada ya kukutana na aliyekuwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga katika kile kinachoitwa Handshake.

Hivi majuzi katika mkutano wa eneo la Sagana, a Rais Uhuru Kenyatta ambaye alikuwa akikutana na watu wa jamii yake kutoka mlima Kenya alisema kwamba alimfahamisha bwana Ruto yote yaliokuwa yakiendelea kabla ya Handshake yake na Raila Odinga licha ya naibu huyo kudai kwamba hakaufahamu kilichokuwa kikiendelea.

Rais Uhuru Kenyatta ameamua kumuunga mkono mpinzani wake wa siku nyingi Raila Odinga badala ya naibu wake William Ruto katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

ZOEZI LA UOKOAJI HANANG, MAWAZIRI WAFIKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent

Read More...

RC MBEYA AFANYA UZINDUZI ZOEZI LA UGAWAJI VITAMBULISHO VYA (NIDA)

Mkuu wa mkoa wa mbeya Mhe. Comrede Juma Zuberi Homera amefanya uzinduzi wa wa zoezi la ugawaji wa vitambulisho

Read More...

MAADHIMISHO YA WATOTO DUNIANI YAFANYIKA ARUSHA

Siku ya watoto duniani kitaifa imeazimishwa hapa jiji Arusha katika hoteli ya mount meru na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu