Lissu awataka Watanzania kuwa tayari kwa mabadiliko.

In Kitaifa


Mgombea Urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo
Mh Tundu Lissu leo August 19 2020 akiwa Mkoani Mbeya
mjini akitafuta wadhamini amezungumza na wanambeya na
kusema watanzania wanahitaji mabadiliko makubwa kwani
watanzania hawataki tena wabunge wa CCM kulitawala bunge.

Katika taarifa ingine ni kwamba Kamanda wa Polisi mkoa wa
Kilimanjaro Emanuel Lukala, amesema mpaka sasa kuna watu 2
wanaoshikiliwa na jeshi hilo kutokana na vurugu alizofanyiwa
mgombea huyo wa Chadema kwa msafara wake kurushiwa
mawe na baadhi ya vijana aliowaita ni wahuni.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu