Maamuzi yatoka kuhusu ugawaji wa vitalu vya uwindaji.

In Uncategorized

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro ametoa uamuzi wa kurudiwa kwa mnada kwenye baadhi ya vitalu vya uwindaji kitalii,vilivyobainika kuwa na dosari katika mnada wa sita wa ugawaji vitalu uliofanywa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA).

Ametoa uamuzi huo wakati akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dodoma baada ya kutokea malalamiko kwa baadhi kampuni katika mnada huo. 

Amesema katika kampuni ya Bushman Hunting Safari Ltd na Tawa,baada ya kupitia hoja mbalimbali ameamua TAWA kuweka kwenye mnada mara moja kitalu Burko OA kwa kuwa kampuni hiyo iliyoweka dau la Dola za Marekani 400,000 kuomba kujitoa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu