Category: Uncategorized

WAZIRI MKUU AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI YA WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA NDEGE.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitoa salamu za mwisho kwa miili ya watu waliopata ajali ya ndege  ya shirika la

Read More...

Waziri Mkuu awataka Wakuu wa Mikoa waimarishe mawasiliano utekelezaji zoezi la sensa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza wakuu wa mikoa yote nchini waimarishe mawasiliano ili kutatua changamoto zitakazojitokeza wakati zoezi la

Read More...

Adaiwa kumuua mwanamke lodge DSM.

kamanda wa jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es saalam Jumanne Muliro amesema jeshi hilo polisi lina

Read More...

Serikali yaweka msisitizo MSD kununua dawa viwandani.

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema sheria ya manunuzi ya umma haijaweka kikwazo kwa Bohari Kuu ya Dawa (MSD) kununua dawa

Read More...

Handeni kuwa ya mfano ufugaji wa kisasa-Ulega.

Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega amesema Serikali imeweka mipango mizuri ya kuhakikisha kijiji cha Msomera kilichopo

Read More...

Rais Samia afungua mkutano wa haki,Amani na Maridhiano.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 05 amefungua mkutano wa kitaifa wa haki,

Read More...

KINANA ASHINDA KWA KISHINDO UMAKAMU MWENYEKITI CCM

Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amechaguliwa na Wajumbe wa Mkutano Mkuu leo kuwa

Read More...

Mongela awataka Wakulima na Wafanyabiashara kutumia fursa

Wafanyabiashara na wakulima wametakiwa kutumia fursa zinazojitokeza ikiwa ni pamoja na kuhudhuria kwenye maonyesho mbalimblai yanayojitokeza ili kuweza kulata

Read More...

GREEN DAY LAFUTA TAMASHA LAKE URUSI.

Bendi maarufu ya muziki wa Rock and Roll "Green Day" kutoka Amerika ya Kaskazini imefutilia mbali tamasha lake ambalo lililotarajiwa kufanyika

Read More...

Maamuzi yatoka kuhusu ugawaji wa vitalu vya uwindaji.

Waziri wa Maliasili na Utalii Dk Damas Ndumbaro ametoa uamuzi wa kurudiwa kwa mnada kwenye baadhi ya vitalu vya uwindaji kitalii,vilivyobainika

Read More...

Mobile Sliding Menu