Madiwani Arusha wamjibu Mkuu wa mkoa.

In Kitaifa

Kufuatia kauli ya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo
kusema kuwa halmashauri ya jiji la Arusha imekuwa ikishindwa
kutekeleza majukumu yake na kumekuwa na ukwamishaji
mkubwa pamoja na kushindwa kutatua changamoto na
migogoro midogo midogo.


Madiwani wa halmashauri hiyo akiwemo mwenyekiti wa kamati
ya mipango miji Ally Bananga wamezungumzia shutuma hizo
katika baraza la madiwani lilifanyika jana,msikie hapa Ally
Bnanga.Kwa uapnde mwingine pia diwani wa diwani wa kata ya levo
losi ndugu Ephata Nanyaro nae amelizungumzia swala hilo
akisema yawezekana mkuu wa mkoa kwa kauli alizozitoa
alikuwa na maslahi binafisi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu