Magufuli ateua Majaji wawili.

In Kitaifa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  amemteua Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi kuwa Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

Kabla ya uteuzi huu Jaji Dkt. Feleshi alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa.

Jaji Dkt. Feleshi anachukua nafasi ya  Jaji Ferdinand Leons Katipwa Wambali ambaye ameteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani.

Jaji Dkt. Feleshi pamoja na Majaji wawili Ferdinand Leons Katipwa Wambali na Mwanaisha Athuman Kwariko walioteuliwa kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani wataapishwa Juni 4, 2018 saa 9:00 Alasiri, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu