Maombi yaliyotangazwa na Rais Magufuli Yaanza leo.

In Kitaifa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli jana Aprili 16, 2020 aliwaomba Watanzania wote kwa
imani zao kutumia siku tatu mfululizo kuliombea Taifa, dhidi ya
janga lililoikumba Dunia la maambukizi ya Virusi vya Corona.
Rais Magufuli alipendekeza siku hizo kuwa leo Ijumaa ya April
17 hadi Jumapili ya Aprili 19.


Kufuati wito huo viongozi mbali mbali wa Dini wameuunga
mkono akiwemo mchungaji wa kanisa la kiinjili la kiluther
Tanzania KKKT usharika wa kijitonyama Dare s salaam Dkt
Elion Kimaro, kama alivyonaswa na Antenna mapema leo
asubuhi akizungumzia maombi hayo, namna yanavyoenda
kuyaponya majeraha ya watanzania na dunia.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu