Mbunge viti Maalum afanya Tamasha la michezo na burudani.

In Burudani, Kitaifa, Michezo

Tamasha lililo kutanisha watu mbali mbali katika viwanja vya mazingira bora Karatu mabapo kulitawala michezo mbali mbali pamoja na burudani ambalo, Tamasha liliandaliwa na Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Arusha Mhe.CECILIA DANIEL PARESSO.


Tamasha hilo lilokuwa na lengo la kuwatanisha vijana na wazee pamoja na viongozi mbali mbali ilikuweza kuibua  michezo mbali mbali ambayo imesahulika katika maeneo mbali mbali nchini.
Mgeni rasmi katika tamasha hilo  alikua ni Mwenyekiti halmashauri ya karatu MHE. JUBLET MNYENYE amesema kuwa anaomba serikali ishirikiane na wadau mbali mbali amabao wanahamasisha michezo katika jamii.
Akizungumza katika ufunguzi wa tamasha hilo mwenyeji na mbunge wa mkoa wa rusha viti maalumu amesema kuwa tamasha hilo linalenga kuinua vipaji mbali mbali ilikuweza kujitoa katika makundi mabaya katika jamii.


Aidha katika tamasha hilo limewaunganisha wananchama mbali mbali wa ccm pamoja na chadema kwa pamoja wamesema kuwa katika jamabo ambalo linaleta maendeleo katika jamii halina chama wala dini hivyo linapaswa kuungwa mkono na watu pamoja serikali.

Wakwanza kushoto ni MWenyekiti wa halmashauri ya Karatu Mhe.Mnyenye katikati ni Mwenyekiti wa Ccm Wilaya ya Karatu na Kulia ni Mbunge wa vitimaalum Mkoa wa Arusha.

 

  

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu