Katibu mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania ALAT
Elirehema Kaaya, amefanya ziara Arusha na kukagua miradi ya
maendeleo katika jiji hilo, na kuridhishwa sana na miradi ya
serikali ambayo ni miradi mikubwa ya maji, Afya, pamoja na
miundombinu mingine.