Jokate Mwagelo Mteule wa Rais John Pombe Magufuli ameapishwa rasmi leo kuanza kazi ya kuwatumikia wananchi wa Kisarawe.
Jokate ameapa kuwatumikia wananchi hao pamoja na kulinda, kuitetea katiba ya nchi.
Mbali na Jokate pia Mkuu wa Mkoa wa Pwani aliyeteuliwa, Mhandisi Evarist Ndikilo naye ameapishwa katika hafla hiyo fupi iliyofanyika wilayani humo.
Tazama picha hapa chini.






