Mtolea achukua fomu ya Ubunge Temeke

In Kitaifa

Aliyekuwa Mbunge wa Temeke kwa tiketi ya Chama cha Wananchi CUF, Abdallah Mtolea, amechukua tena fomu ya kugombea Ubunge kupitia chama cha CCM ikiwa ni wiki chache zimepita tangu atangaze kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge akiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.

Mtolea alitangaza kujiuzulu nafasi yake hiyo na kisha kukihama chama chake cha CUF na kujiunga na CCM, ambapo Katibu mkuu wa CCM, Dkt Bashiru Ally, amempa nafasi ya kugombea Ubunge kwenye jimbo hilo kwa mara nyingine.

Akizungumza baada ya kupokea fomu ambazo anatakiwa kuzijaza na kisha kuzirejesha katika ofisi za zinazosimamia uchaguzi kesho.

Desemba 20, Mtolea amewaomba wananchi wa Temeke kumpokea kwa mara nyingine tena.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu