Mtumishi aliyeibiwa pikipiki ya Serikali Asakwe.

In Kitaifa

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameliagiza
jeshi la polisi mkoani humo, kuhakikisha linamsaka afisa wa
Halmashauri ya Wilaya ya Busega, ambaye anadai kuibiwa
pikipiki ya serikali aliyokabidhiwa.


Amesema mtumishi huyo anatakiwa kupatikana ndani ya wiki
moja ili aeleze aliibiwa katika mazingira gani pikipiki hiyo
yenye thamani ya shilingi milioni 1.9 na kueleza kuwa
uchunguzi wa tukio hilo umechukua muda mrefu bila ya
kukamilika.


Amesema kupotea kwa pikipiki hiyo katika mazingira ya
kutatanisha, kumesababisha kuwa moja kati ya hoja za CAG
kwa halmashauri hiyo, kutokana na uchunguzi kushindwa
kukamilika kwa wakati.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu