Muuguzi afariki kwa ajali akimsindikiza mjamzito.

In Kitaifa

Muuguzi wa Kituo cha Afya cha Haneti, Wilaya ya Chamwino
mkoani Dodoma, Rhoda Mitinda (30), amefariki dunia katika
ajali ya gari iliyotokea eneo la Mayamaya, Wilaya ya Bahi,

akiwa njiani kumsindikiza mjamzito kwenda kujifungua katika
Hospitali ya Rufaa ya Dodoma.


Akithibitisha tukio hilo Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa
Dodoma, George Katabazi, amesema ajali hiyo ilitokea alfajiri
ya Novemba 30, 2024 ambapo Gari la kubebea wagonjwa aina
ya Toyota Land Cruiser lililokuwa likiendeshwa na dereva
Mazoea Nampanga (64) liligonga kwa nyuma lori lililokuwa
limeegeshwa pembeni mwa barabara.


Kamanda Katabazi ameeleza kuwa uchunguzi wa awali
unaonyesha kuwa gari hilo la wagonjwa lilishindwa kudhibiti
mwendo, na hivyo kugonga kwa nyuma lori ambalo lilikuwa
limeegeshwa bila tahadhari ya kutosha kando ya barabara.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu