NAFASI ZA KUJIUNGA NA JKT KWA KUJITOLEA HAZIUZWI – MEJA JENERALI RAJABU MABELE.

In Kitaifa

MKUU wa JKT Meja Jenerali Rajabu Mabele amesema nafasi za kujiunga na Mafunzo ya JKT kwa kujitolea Haziuzwi, zinatolewa bure kwa kila kijana wa kitanzania mwenye sifa zilizoainishwa na JKT.

Meja Jenerali Mabele ameyasema hayo ofisini kwake Makao Makuu ya JKT Chamwino Dodoma, wakati walipokuwa akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari waliotaka kufahamu zaidi namna JKT linavyotekeleza jukumu la Malezi ya Vijana na umuhimu wake kwa Taifa.

Amefafanua kuwa nafasi zote zimepelekwa katika Mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani, hivyo amewataka wananchi kuepuka matapeli watakaotaka kiasi chochote cha fedha ili kuwapatia vijana wao nafasi hizo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu