Ndege yaanguka watanzania wawili wafariki dunia.

In Kitaifa

Watu wawili waliokuwa wamepanda ndege ya mali ya Kampuni ya Auric Air, wamefariki dunia kufuatia ndege hiyo kuanguka katika Uwanja mdogo wa Ndege wa Seronera uliopo kwenye hifadhi ya Serengeti mkoani Mara.
Inadaiwa kuwa watu hao wawili walikuwa wakisafiri kutoka Mara kueleka mkoani Arusha kwa ajili ya shughuli za kitalii, ambapo ajali hiyo imetajwa kutokea leo saa 1:30 Asubuhi.
Taarifa zulizothibitishwa hivi punde ni kwamba miongoni mwa waliofariki kwenye ajali hiyo ni pamoja na mtoto wa Mkuu wa Majeshi Tanzania Venance Mabeyo anayeitwa Nelson Mabeyo.

Kamishana Msaidizi Mwandamizi Mawasiliano wa TANAPA Pascal Shelutete, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu