Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. John Pombe Magufuli ameteua kamati ya Pili ya Uchunguzi kuhusu madini yaliyopo kwenye mchanga wenye madini ulio ndani ya makontena yaliyopo katika maeneo mbali mbali nchini.
Hii hapa ni taarifa kutoka Ikulu Dar-Es-Salaam
