Ukikutwa unaingiza mayai kutoka nje ya nchi Serikali ya Magufuli itakunyoosha

In Uchumi

Serikali imesema kuwa hakuna mwekezaji yeyote aliyeruhusiwa kupewa kibali cha kuingiza vifaranga au mayai ya kuku nchini kwa ajili ya biashara.

Katika kusimamia hili, kuanzia mwaka 2013 hadi 2017 vifaranga 67,500 vilivyoingizwa   nchini kinyume na sheria viliteketezwa.

Akifafanua kuhusu hoja hiyo, Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvivu, Mhe.William Ole Nasha amesema wapo wawekezaji wachache ambao hupewa vibali maalum vya kuingiza mayai au vifaranga wa kuku wazazi (Parent Stock) pekee na ukaguzi kwa ajili ya kudhibiti uingizaji vifaranga na mayai unaendelea.

Amesema hatua kali zinachukuliwa kwa yeyote anayekamatwa kwa kukiuka utaratibu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Serikali ya Marekani yaichangia Tanzania bilioni 2.63

Serikali ya Marekani imetoa zaidi ya Dola za Marekani milioni moja, sawa na takribani Sh. biliooni 2.63 ili kusaidia

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu