Leo April 5 mwaka 2017, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu wakuu, Mabalozi pamoja na Kamishna wa TRA, Ikulu jijini Dar es salaam.
Walioapishwa ni pamoja na Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Charles Edward Kichele, Balozi wa Tanzania nchini India Baraka Luvanda, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini Sylvester Ambokile Mwakinyuke, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Ave Maria Semakafu, Katibu Mkuu wa wizara ya Maji na Umwagiliaji Prof. Kitilia Alexander Mkumbo.
HII HAPA CHINI NDIYO TAARIFA KAMILI KUTOKA IKULU
