Rais Samia amwaga mabilioni ujenzi vyuo vya ufundi.

In Kitaifa

Mikoa Takribani Minne na wilaya 25, zitanufaida na fedha
zilizotolewa na Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania
Samia Suluhu Hassa,katika ujenzi wa vyuo vya ufundi stadi
hapa nchini.


Hayo yameelezwa kwa wanahabari na naibu waziri wa Elimu,
Sayansi na Teknolijia Omary Kapanga alipotembelea kujionea
ulipofikia ujenzi wa chuo cha ufundi jijini Dodoma.

Kwa upande mwingine Naibu waziri wa Elimu Omari Kipanga
ametembelea ujenzi wa Shule ya mfano inayojengwa Iyumbu
jijini Dodoma ambapo amemtaka mkandarasi suma Jkt kumaliza
ujenzi wa Shule hiyo haraka ikiwamo na kurekebisha makosa
madogo madogo ya kiufundi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Tanzania Breweries Public Limited Company (TBL) na Tanzania Red Cross Society kushirikiana kuimarisha usalama wa bodaboda 1600, kujenga jamii salama

Dar es Salaam, Tanzania. Kampuni ya TBL kupitia kampeni yake ya Cheers to Moderation, imesaini hati ya makubaliano na Tanzania Red Cross Society kwa lengo la

Read More...

MABELE AHITIMISHA MAFUNZO YA JKT KWA VIJANA

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Meja Jenerali Rajabu Mabele, leo Septemba 18, 2026, amehitimisha rasmi mafunzo ya

Read More...

Safari ya Messi na Lamine Yamal Iliyotikisa Historia ya Soka

Soka lina uwezo wa kuandika simulizi ambazo hata waandishi wa riwaya hawawezi kuzibuni. Fainali ya Kombe la Dunia kati

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu