Rais Samia ashiriki kumbukumbu ya mashujaa Dodoma.

In Kitaifa

Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia
Suluhu Hassan,leo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya
siku ya kumbukumbu ya mashujaa yaliyofanyika jiini Dodoma.


Akizugumza katika Maadhimisho hayo yaliyofanyika leo Julai
25 2022,amewaambia watanzania ataendelea kuenzi mawazo ya
Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na uamuzi wa Hayati
Dk John Magufuli,wa kuhamishia Serikali Dodoma akisema
kuwa hakuna kurudi nyuma.

Kwa upande mwingine Rais Samia amewakumbusha watanzania
kuendelea kuchanja chanjo ya Uviko 19,na pia kujiandikisha
kwenye zoezi la Sensa ya watu na makazi ambayo itafanyika
Agost 23.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu